Monday, Jan 26th 2015

MLANGUZI WA PEMBE ZA NDOVU KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Monday, April 1, 2013 - 13:00 -- Emmanuel Wanjala

Mshukiwa wa ulanguzi wa pembe za ndovu anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Lang’ata baada ya kupatikana na pembe 19 za ndovu mtaani Eastleigh hapa Nairobi. Msemaji wa shirika la huduma kwa wanyamapori Paul Udoto anasema mshukiwa huyo anatazamiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.